JACKLINE FREDRICK.
Umri wake: 26-32
Umri wa anayemtafuta: 32-40
Anatafuta: Mchumba
Jinsia anayoitaka: Mvulana
Anapenda kuwa na uhusiano na mtu mweye sifa zifuatazo
Awe mwaminifu mkweli na mcha Mungu pia mfanyakazi yoyote ili mradi anajishughulisha wa dini ya Kikristo ikibidi awe ameokoka.Asante
Wasifu wake na vitu anavyopenda
Mimi ni mrefu wa kias elimu ni IV nependa upendo wa dhati wenye ukwelikujali na kujijali
Nchi anayoishi sasa: Tanzania
Email: jline2008@yahoo.com
Simu yake: nitampa akinitafuta
Sababu ya kutafuta ni:
kuishi pamoja kujenga maisha yetu
========================
LILIAN GODFREY.
Umri wake: 26-32
Umri wa anayemtafuta: 32-40
Anatafuta: Mchumba
Jinsia anayoitaka: Mvulana
Anapenda kuwa na uhusiano na mtu mweye sifa zifuatazo
AWE MKRISTO.ELIMU KIDATO CHA SITA NA KUENDELEA.
Wasifu wake na vitu anavyopenda
ELIMU YANGU CHUO KIKUU.MKRISTO
Nchi anayoishi sasa: TANZANIA
Email: lilianmlay@yahoo.com
Simu yake: +255765857265
Sababu ya kutafuta ni:
KUPATA MTU AMBAYE ATAKAE KUWA MUME WANGU BAADAE
=====================
KARREN JOSEPH.
Umri wake: 18-25
Umri wa anayemtafuta: 26-32
Anatafuta: Rafiki
Jinsia anayoitaka: Mvulana
Anapenda kuwa na uhusiano na mtu mweye sifa zifuatazo
mcha mungu
Wasifu wake na vitu anavyopenda
mcha mungu
Nchi anayoishi sasa: Tanzania
Email: carrenjsph1@gmail.com
Simu yake: baadae
Sababu ya kutafuta ni: urafiki wa kweli
================================
MARIAM NKUNYEPA
Umri wake: 18-25
Umri wa anayemtafuta: 26-32
Anatafuta: Mchumba
Jinsia anayoitaka: Mvulana
Anapenda kuwa na uhusiano na mtu mweye sifa zifuatazo
SIBAGUI KABILA WALA RANGI AWE MWENYE BUSARA NA ASIWE KIWEMBE MWENYE TAMAA NA WANAWAKE NA AWE ANAMPENDA MUNGU.
Wasifu wake na vitu anavyopenda
MIMI NAFANYA KAZI KATIKA OFISI YA MKUU WA MKOA WA MOROGORO KAMA PERSONAL SECRETARY. NAPENDA SANA KUSIKILIZA REDIO
Nchi anayoishi sasa: TANZANIA
Email: nkunyepajane@yahoo.com
Simu yake: 0754405143
Sababu ya kutafuta ni: kuoana mungu akipenda
============================
IMMAQULATE.
Umri wake: 18-25
Umri wa anayemtafuta: 18-25
Anatafuta: Mchumba
Jinsia anayoitaka: Msichana
Anapenda kuwa na uhusiano na mtu mweye sifa zifuatazo
AWE MCHA MUNGU,ANAYE PENDA MUZIKI,MSOMI NGAZ YA CHUO KIKUU,MWEUPE MREFU
Wasifu wake na vitu anavyopenda
NI CHOCOLATE IN COLOUR, MREFU, NI MCHA MUNGU, NAPENDA MZIKI,ELIMU DIPLOMA IN RMA
Nchi anayoishi sasa: Tanzania
Email: immaqulate08@yahoo.com
Simu yake: 0764736208
Sababu ya kutafuta ni: Ndoa
==========================
JANE OCTAVIAN.
Umri wake: 26-32
Umri wa anayemtafuta: 26-32
Anatafuta: Rafiki
Jinsia anayoitaka: Msichana
Anapenda kuwa na uhusiano na mtu mweye sifa zifuatazo
Elimu ya juu, mfanyakazi, mcheshi, jinsia yoyote, sibagui kabila wala rangi, mpenda maendeleo na mcha Mungu zaidi
Wasifu wake na vitu anavyopenda
Elimu ya chuo, ni mcha Mungu, napenda kusoma biblia kuangalia tv na kusoma
Nchi anayoishi sasa: Tanzania
Email: joct2008@gmail.com
Simu yake: 0786500580
Sababu ya kutafuta ni: kuwasiliana na kujuana
===================================
KOKU.
Umri wake: 26-32
Umri wa anayemtafuta: 32-40
Anatafuta: Mchumba
Jinsia anayoitaka: Mvulana
Anapenda kuwa na uhusiano na mtu mweye sifa zifuatazo
natafuta mchumba ambaye anamcha Mungu hawe na mapenzi ya dhati, hawe mwaminifu, hawe ni mtu anayependa maendeleo
Wasifu wake na vitu anavyopenda
mimi ninafanyakazi kwenye company ya mtu binafasi ni Secretary elimu yangu ni kidato cha nne, nimeokoka nampenda Yesu, napenda kusoma bible, kusikiliza kwaya, kuangalia TV, kusoma vitabu
Nchi anayoishi sasa: Tanzania
Email: kokukuteta@yahoo.com
Simu yake: nitatoa baadae
Sababu ya kutafuta ni:
kuwa na mtu wa kutiana moyo katika maisha
=================================
kujaliana pande zote mbili pia kuwa upendo kwa pande zote
This comment has been removed by the author.
ReplyDeleteumri wangu miaka 26 sina kazi lakini nime maliza mafunzo ya udereva bado sija pata ajira naishi morogoro na tafuta mke wakuowa Awe na sifa zifuatazo 1.awe mrembo 2.awe na mapenzi ya dhati 3.awe na heshima kwa mume 4.awe mruguru au mpogoro 5.awe mkristo mcha mungu umri kuanzia miaka 16 hadi 25 namba yangu ni 0623601738
DeleteMI NATAFUTA MDADA MZUUURI TUPEANE PENZI TAAAAAAMU! 0654389929
ReplyDeleteNaitwa Jose, natafuta mchumba kati ya miaka 24 na 29, umri wangu ni kati ya 30 na 35, tumia email hii lazjunior@yahoo.co.uk
ReplyDeleteNaitwa Stans Natafuta Msichana wa kuwa nae kimapenzi awe miaka kati ya 21 na 32 akivuka kidogo si mbaya awe mkristo akiwa RC safi zaidi japo sibagui. tuwasiliane kwa namba 0654513034 au 0688111634 na smsekulu@gmail.com
ReplyDeleteThis comment has been removed by the author.
ReplyDeleteSerious natafuta msichana wa kuoa, ambaye yupo serious na mwenye nia ya dhati kuingia kwenye maisha ya ndoa na kuanzisha familia kama tukiridhiana na baada ya kuchunguzana tabia. Nahitaji msichana anayejiamini na mwenye msimamo na si anayetania au kujaribu kwani sitaki kupotezeana muda. Nahitaji mtu wa kujenga nae familia si vinginevyo.
ReplyDeleteWASIFU WANGU:
Naitwa: Emmanuel
Umri wangu: miaka 27
Dini yangu: mkristo
Kabila langu: mndali wa Mbeya
Kazi yangu: Ntakueleza baada ya kuwasiliana
Makazi yangu: shinyanga
Mtoto: sina
Kuoa: sijawahi kuoa
Pombe au sigara: situmii
Mwonekano wangu: mweusi, mwembamba, sio mrefu na wala sio mfupi
WASIFU WAKE:
Umri wake: asizidi miaka 25
Dini yake: mkristo
Kazi yake: Asiye na kazi au mjasilia mali
Elimu yake: yoyote (lakini asiwe manafunzi)
Mtoto: asiwe na motto
Kuolewa: awe hajawahi kuolewa
Pombe au sigara: asiwe anatumia
Mwonekano wake: Mweupe au maji ya kunde(muhimu), umbo la wastani ( asiwe mnene sana) na asiwe mfupi sana.
Kwa mwenye wasifu huo na aliye serious na swala hili tuwasiliane kwa EMAIL; detectivemaster@ymail.com, SIMU; 0656380928 AU 0752539979
KWA MSICHANA ALIYE SERIOUS ANAYEHITAJI KUOLEWA SOMA HAPA.
ReplyDeleteSerious natafuta msichana wa kuoa, ambaye yupo serious na mwenye nia ya dhati kuingia kwenye maisha ya ndoa na kuanzisha familia kama tukiridhiana na baada ya kuchunguzana tabia. Nahitaji msichana anayejiamini na mwenye msimamo na si anayetania au kujaribu kwani sitaki kupotezeana muda. Nahitaji mtu wa kujenga nae familia si vinginevyo.
WASIFU WANGU:
Naitwa: Emmanuel
Umri wangu: miaka 27
Dini yangu: mkristo
Kabila langu: mndali wa Mbeya
Kazi yangu: Ntakueleza baada ya kuwasiliana
Makazi yangu: shinyanga
Mtoto: sina
Kuoa: sijawahi kuoa
Pombe au sigara: situmii
Mwonekano wangu: mweusi, mwembamba, sio mrefu na wala sio mfupi
WASIFU WAKE:
Umri wake: asizidi miaka 25
Dini yake: mkristo
Kazi yake: Asiye na kazi au mjasilia mali
Elimu yake: yoyote (lakini asiwe manafunzi)
Mtoto: asiwe na motto
Kuolewa: awe hajawahi kuolewa
Pombe au sigara: asiwe anatumia
Mwonekano wake: Mweupe au maji ya kunde(muhimu), umbo la wastani ( asiwe mnene sana) na asiwe mfupi sana.
Kwa mwenye wasifu huo na aliye serious na swala hili tuwasiliane kwa EMAIL; detectivemaster@ymail.com, SIMU; 0656380928 AU 0752539979
Natafuta mchumba wa kuoa sio mpenzi. Awe na umri kati ya miaka 24 - 28. Mkristo ambaye ni Mwadventista. Elimu minimum form six ila awe tayari kumwendeleza kwa elimu zaidi. Mi nina miaka 29.
ReplyDeleteAliye serious na anayempenda Mungu na mtiifu kwa amri zake. Wasiliana nami kwa email 2310858147@qq.com
NATAFUTA RAFIKI WA KIKE,KABILA LOLOTE AWE ANAISHI MKOANI MOROGORO.AWE MWENYE HEKIMA NA BUSARA KATIKA KUSHAURIANA KUHUSU MAISHA.SIHITAJI MZAHA.TUKIPENDEZWA TUWE WACHUMBA PIA WANANDOA (NDANI YA MIAKA MITATU)UMRI WOWOTE.MIMI NINA MIAKA 33.0778063114,ELIMU KUANZIA KIDATO CHA NNE NA KUENDELEA.PIA AWE NA SHUGHULI YA KUDUMU
ReplyDeleteMimi ni kijana wa kikristo umri wangu miaka 33
ReplyDeleteElimu yangu ni digrii ya kwanza ya sanaa.
Natafuta mchumba mkristo
Umri miaka 23 hadi 28
Elimu kuanzia kidato cha nne
Awe na kazi au ajira ya kueleweka
Mrefu wa wastani
Rangi yoyote
Kabila lolote
Mimi naishi Morogoro
Dada aliye tayari naomba tuwasiliane jhizza3@gmail.com
Madhumuni ni uchumba hadi ndoa.
JOSE WA IRINGA NATAFUTA MCHUMBA MIAKA 20 KUSHUKA CHINI NAMBA YANGU NI 0767385929
ReplyDeletenaitaji mpenzi wa kike umri wowote email yangu ni
ReplyDeleternoel1984@gmail.com
Nahitaji Mchumba ambaye atakuwa mke wangu, nina miaka 26, Mrefu kiasi, maji ya kunde, sijawahi kuoa wala sina mtoto, situmii kilevi chochote na sina mpango wa kutumia maisha yangu yote, nina elimu ya chuo kikuu, kazi nitakuambia baada ya kuwasiliana.
ReplyDeleteNiko serious hivyo nawe uwe serious kama unatania samahani tusisumbuane.
Mimi ni mpare halisi kwa hiyo awe tayari kupanda milima ya upare japo kwa sasa niko Arusha.
Sifa zake (Msichana)
Awe mrefu kiasi kama mimi futi 4 na nusu hadi tano
Awe mcha mungu
Mtanzania
Rangi yoyote ila asiwe mweusi kama mkaa, weupe wa mkorogo sitaki.
Awe hajawahi kuolewa
Asiwe na mtoto
Kabila lolote
Awe na tabia njema
Awe na elimu ya kidato cha nne na kuendelea
Mchapa kazi
Awe tayari kuwa na familia ya watoto wawili tu.
Awe Mkristo
Anitafute kwa email hii, mpareoriginal@gmail.com, baada ya kunitumia ujumbe kwa e-mail nitampa namba yangu ya sim
EVARISTO kutoka Dar.Natafuta mke contact 0719 952290
ReplyDeletenaitwa dittohance nina miaka 20 natafuta msichana iliawe mkewangu hapo badae awe na miaka 18 /19 rang yeyote anichekikwa 0688214905
ReplyDeleteNaitwa NESTERY natafuta msichana mweupe mzur awe na miaka kuanzia 20 hadi 23 awe na mapenzi ya kweli na siyo ubaishaji.Anitafute kupitia namba hii +255683633419,na mm mkaz kutoka Ruvuma.
ReplyDeleteThis comment has been removed by the author.
ReplyDeleteNaitwa John,miaka 23.....nasoma chuo...naishi mwanza.Natafuta mchumba mwenye umri 17-22,mkristu,anayesoma sekondari au chuo....(kama unaishi Mwanza itakuwa vizur zaidi).........yeyote ambaye yupo tayari tuwacliane kwa hizi namba 0713180996, 0753401502, 0766591968.......sitanii, namaanisha. Karibuni....!!!!!
ReplyDeleteNitafute
ReplyDeletejoyce ur phone plz
Deletejoyce ur phone plz
DeleteNITAFUTE
DeleteMimi naitwa Gaston naishi Marekani,natafuta mchumba aliyemaliza FormVI au chuo kikuu kama mimi.Nahitaji tuwasiliane kupitia E-mail yangu: g.shime@yahoo.com
ReplyDeleteMimi naitwa Gaston naishi Marekani,natafuta mchumba aliyemaliza FormVI au chuo kikuu kama mimi.Nahitaji tuwasiliane kupitia E-mail yangu: g.shime@yahoo.com
ReplyDeleteNitafute
ReplyDeleteWewe mwanaume au mwanamke?
DeleteMwanaume
DeleteNaitwa Shime naishi Marekani,Mzaliwa wa Tanzania.Nahitaji mchumba ,nitakaye owa baadaye.Awe amemaliza chuo kikuu,kama mimi. Anaweza akanitafuta tukawasilana kwanza kupitia E-mail yangu: g.shime@yahoo.com
ReplyDeleteunamiaka mingapi
DeleteNatAfuta mtu mzima anayejiheshimu na asiye tapeli tufanye yetu kwa kuheshimiana kabisa!nipo serious tuwasiliane kwa joseph_ngonyani@yahoo.com nipo serious please!miaka kuanzia arobaini hadi 60.mimi nina 35.Mimi nahitaji mapenzi tu kwa furaha yangu nina maisha yangu hainisukumi njaa hapa
ReplyDeleteNaitwa Adam Ndunguru Umri Wangu Miaka 25 Naishi Mtwara Natafu Mchumba Wakuishi Nae Awe Na Sifa Zifuatazo Mweupe Kiasi Au Maji Yakunde Mrefu Kiasi Na AweNa Mapenzi Yakweli Umri Wake Kuanzia Miaka15 Hadi 23 Namba Yangu 0657607867
ReplyDeleteNaitwa Adam Ndunguru Umri Wangu Miaka 25 Naishi Mtwara Natafu Mchumba Wakuishi Nae Awe Na Sifa Zifuatazo Mweupe Kiasi Au Maji Yakunde Mrefu Kiasi Na AweNa Mapenzi Yakweli Umri Wake Kuanzia Miaka15 Hadi 23 Namba Yangu 0657607867
ReplyDeleteNaitwa Adam Ndunguru Umri Wangu Miaka 25 Naishi Mtwara Natafu Mchumba Wakuishi Nae Awe Na Sifa Zifuatazo Mweupe Kiasi Au Maji Yakunde Mrefu Kiasi Na AweNa Mapenzi Yakweli Umri Wake Kuanzia Miaka15 Hadi 23 Namba Yangu 0657607867
ReplyDeleteBe serious Human
ReplyDeletePeter nipo arusha natafuta mchumba kuanzia miaka 18 _ 25 sichagui rangi wala kabila na awe mkristo mcha mungu mwenye mapenzi ya kweli
ReplyDeleteMawasiliano +255765 029230
This comment has been removed by the author.
ReplyDeleteThis comment has been removed by the author.
ReplyDeleteNAITWA MATHEW NDUNGURU NATAFUTA MCHUMBA MKRISTO WA KUISHI NAE AWE NA UMRI USIO ZIDI MIAKA 18 HADI 24 NA AWE NA MAPENZI YA KWELI AWE MFUPI KIASI MWEUPE KIASI NA AWE TAYARI KUPIMA VVU ALIYE TAYARI ANITAFUTE FACEBOOK
ReplyDeleteThis comment has been removed by the author.
ReplyDeleteNAITWA KELVIN NIKO MOROGORO NATAFUTA MCHUMBA AU RAFIKI MKRISTO, UMRI KATI YA 18 HADI 25 NIPO SERIKALINI 0742026918
ReplyDeleteNaitwa joviani justice naishi dar umri wangu ni 24age natafuta mpenzi toka dar awe mcha mungu mpenda maendeleo na sio tegemezi namba yangu ni 0754210938
ReplyDeleteNaitwa Barakaeli natoka Dar, natafuta mke wa kuoa mwenye maadili mema na hofu ya Mungu, anayependa maendeleo na kujituma. Akiwa na elimu kama yangu sio vibaya yaani degree au chini ya hapo. Akiwa mweupe au maji ya kunde nitafurahi sana. mawasiliano 0713974490
ReplyDeleteThis comment has been removed by the author.
ReplyDeletebildad ringo umr miaka 28 natafuta mchumba/msichana,umri miaka 22-26 awe na kaz,mmi nipo wizara ya mambo ya ndani mkoa wa pwani/kibaha
ReplyDeleteKelvin wa dar, umri wangu miaka 24 natafuta mchumba wa kike kutoka Dar, alietayar anichek kupitia whatsapp 0712062890
ReplyDeleteHi
ReplyDeleteI am a man aged 23 years old and 178cm tall. I am a Tanzanian studying in DSM. I am a second year bachelor's degree student. Am here looking for any single girl with the equivalent age as stated above on the head of my thread to establish a Relationship with her and later I will marry her if God wish. If you are interested, do not hesitate to contact me through 0713672532 or you can send me a private message(PM). All SMS and calls will be accepted. You are warmly welcome
Hi
ReplyDeleteI am a man aged 23 years old and 178cm tall. I am a Tanzanian studying in DSM. I am a second year bachelor's degree student. Am here looking for any single girl with the equivalent age as stated above on the head of my thread to establish a Relationship with her and later I will marry her if God wish. If you are interested, do not hesitate to contact me through 0713672532 or you can send me a private message(PM). All SMS and calls will be accepted. You are warmly welcome
This comment has been removed by the author.
ReplyDeletenatafuta mpenzi Niko Zanzibar 0676287464
ReplyDeleteNAITWA PETER NIPO DAR, NATAFUTA MSICHANA WA KUISHI NAYE, TAFADHALI TUWASILIANE 0714518999
ReplyDeletenaitwa ally napatikana mwanza natafuta mwanamke anayejielewa awe muislamu, elimu ni kuanzia kidato cha sita na kuendelea ......tuwasiliane 0714199082
ReplyDeletenaitwa ally napatikana mwanza natafuta mwanamke anayejielewa awe muislamu, elimu ni kuanzia kidato cha sita na kuendelea ......tuwasiliane 0714199082
ReplyDeleteKama unataka kutafuta mchumba au marafiki Online, blog mpya iitwayo Marafiki Linkage ndio habari ya mkjini. Kwa kupitia blog hii utaweza kufahamiana na kukutana na marafiki kutoka kila kona ya dunia.
ReplyDeleteNdunguru called ADAM 25 YEARS OLD I LIVE MY fiance MTWARA NATAFU places to live NAE SICHAGUI RELIGION AND AWE AND MUCH whiter 1.AWE FOLLOWING CRITERIA OR DARK CHOCOLATE AND WILL REALLY 2.AWE 3.AWE narrow minded 4.AWE TERM IS NOT VERY MUCH 5. AIDS TESTING AWE WHO ALREADY READY ANICHEKI FACEBOOK
ReplyDeleteadam ndunguru Naishi Mtwara Natafuta Mchumba wa kihaya Wa Kuishi Nae Awe Mcha Mungu Umri Kuanzia Miaka 18 hadi 25 Awe Mweupe Kiasi Na Awe Na Mapenzi Ya Kweli Asiwe Mpenda Pesa Mapenzi Ya Pesa Mimi Siya Wezi Namba 0628181564
ReplyDeleteMimi ni kijana wa miaka 21 natafuta mwanamke wa kuniliwaza kuanzia maiaka 15 hadi 55 yani sie kazi yetu iwe kupeana raha tuu pia napenda mambo yetu tuyafanye kwa usiri mkubwa. Napenda uaminifu na napenda kufanya vitu kwa faragha sipendi kubabaishwa na mtu yeyote hivyo uhusiano wetu uwe wa siri ili tujiachie zaid. Nafanya vyote vijulikanavyo katika tasniz nzima ya mapenzi. Napendelea sana kutomba kuma na romance. Pia kama wataka kufirwa its okay mimi napiga yote hayo ila kuma ndio mchawi wangu. Napatikana kwa hii email williummpeter@gmail.com
ReplyDeleteMambo yakinoga zaidi maana mda sio mrefu sana nataka kuwa na familia basi tutaowana kwa mwanamke mwenye tutakaetofautiana kama mwaka mmoja, miwili au mwisho mitatu.
Mimi ni smart boy mambo yangu yako okay ila ishu za pesa sina maana mimi bado napambana kutengeneza masha kama ni kusaidiana itakua powa zaidi. Mimi pia ni msomi
Natanguliza shukrani
Mimi ni kijana wa miaka 21 natafuta mwanamke wa kuniliwaza kuanzia maiaka 15 hadi 55 yani sie kazi yetu iwe kupeana raha tuu pia napenda mambo yetu tuyafanye kwa usiri mkubwa. Napenda uaminifu na napenda kufanya vitu kwa faragha sipendi kubabaishwa na mtu yeyote hivyo uhusiano wetu uwe wa siri ili tujiachie zaid. Nafanya vyote vijulikanavyo katika tasniz nzima ya mapenzi. Napendelea sana kutomba kuma na romance. Pia kama wataka kufirwa its okay mimi napiga yote hayo ila kuma ndio mchawi wangu. Napatikana kwa hii email williummpeter@gmail.com
ReplyDeleteMambo yakinoga zaidi maana mda sio mrefu sana nataka kuwa na familia basi tutaowana kwa mwanamke mwenye tutakaetofautiana kama mwaka mmoja, miwili au mwisho mitatu.
Mimi ni smart boy mambo yangu yako okay ila ishu za pesa sina maana mimi bado napambana kutengeneza masha kama ni kusaidiana itakua powa zaidi. Mimi pia ni msomi
Natanguliza shukrani
Mmhhh!!! kama wanawake ni wengi mbona tunaona wanaotafuta wachumba ni wanaume tu?
ReplyDeleteNaitwa David
ReplyDeleteNatafura tafiki wa kike kutoka kanda ya ziwa
awe na umri kati ya 18 -21, awe mweupe, mkristu awe hajaolewa na awe amemaliza 4m4 0683641183
Naitwa David
ReplyDeleteNatafura tafiki wa kike kutoka kanda ya ziwa
awe na umri kati ya 18 -21, awe mweupe, mkristu awe hajaolewa na awe amemaliza 4m4 0683641183
Naitwa Emmanuel natafuta mchumba wakike mchamungu,mwenye mapez yakwel,mwenye Marengo, mweupe. Nina miaka 30. Nayeye awe namiaka 25. Namb yang 0715683965 aliyekuwa tayali anitafute
ReplyDeleteNaitwa Barakaeli natoka Dodoma natafuta
ReplyDeletemke wa kuoa mwenye maadili mema na
hofu ya Mungu, anayependa maendeleo
na kujituma. Akiwa na elimu kama
yangu sio vibaya yaani diploma au degree au chini
ya hapo. Akiwa mweupe au maji ya
kunde nitafurahi sana. mawasiliano
0719297807
Naitwa ben natafuta mama MTU mzima mwenye pesa zake kwaajili ya mahusiano ya kimapenzi 0758411977 nipo dar mbezi beach
ReplyDeleteNaitwa ben natafuta mama MTU mzima mwenye pesa zake kwaajili ya mahusiano ya kimapenzi 0758411977 nipo dar mbezi beach
ReplyDeleteThis comment has been removed by the author.
ReplyDeletehow can i delete a comment in case i no longer have gmail account i used when i commented
ReplyDelete#admin#
ReplyDeleteU cant
Delete0738292507 natafuta mhumba wa kuoa dini haijalishi niko dar es salaam ninauri 22-25 awe na mapenzi ya kweli asiwe mwathilika awenaumri kuanzia 18-22 awasiliane na mimi kwa namba hoi juu
ReplyDeleteI'm Sonja McDonell, 23, Swiss Airlines Stewardess with 13 oversea towns, very tender with lots of fantasies, also in my wonderful job. We lesbian girls have nerves at & in our sensible body parts, which so called "normal girls" don't have. This can never be changed & removed. Black girls have a special ability for lesbian sex.
ReplyDeletesonjamcdonell@yahoo.com
I'm a beautiful lady of 28.Looking for a TALL,GOOD LOOKING guy who is 29-38.He should be a CHRISTIAN and FLUENT IN ENGLISH. We can begin as friends and maybe to romantic date. Call or text 0622 58 98 99.
ReplyDeleteHi,
DeleteHi,
DeleteUr number is not available
ReplyDeleteNatafuta mchumba au rafiki wa kike ambae anataekuja kuwa mke na mama wa toto wangu,
ReplyDeleteMimi ni mjasikiamali, nimesomea kompyuta na nipo zaidi kwenye upande wa teknolojia
Mengi tutaongea kwenye simu, napatikana kwa sasa 0785 122916
naitwa kenny nasoma coz ya tourism na miaka 28 natafuta mchu aliye singo umri kuanzia miaka 20 to 45. sibagui umri wala rangi wala dini 0744468364
ReplyDeleteNatafta mwanaamme mwenzangu ambae tutakua na le na mahusiano ya jinsia moja kama yupo naomba ani text kwa namba 0652 497533 me ni kijana nisie jionyesha. Na ningependelea vijana wenzangu sio watu wazima sana
ReplyDeleteThis comment has been removed by the author.
ReplyDeleteNaitwa John natafutamsichana ambaye badae tuje tuoane umriwangu nimiaka 29 nahitaji binti wakuanzia umri kati ya 18 - 28 Elimu si kigezo kwangu awetayarikuishi na mimi . Mimi ni mwajiriwa wa Serikali Idara ya Elimu KITENGO CHA Statistics and logistics officer namba yangu ya simu ni 0768763701 E-mail: johndamiano25@gmail.com . Sms zote zitajibiwa
ReplyDeleteI'm Don, a man with 24 years, Christian and university graduate , by this time am working and living in Mwanza, i need a serious relationship with a 18~24 girl around a region who is self aware, confident and planning our future with self commited promises… in the whole time from fiance to marriage, she must have a college education atleast, or she is working like Enterpreneurship issues, or on process of college Completion. Am serious and ready to create and build strong and commited relationship, we have grown, time for deciding right decisions for personality altitude is now, no more cheating on maturity…contact me for serious ones feel to text or call 0652981290. Thank you…
ReplyDeleteHi, naitwa Po(male),kutoka dar, natafta rafiki ambaye atanipelekea kuwa na mahusiano(love)baadaye,mshna kwanzia (18-27)awe brown na anajishughulisha.ponshie@gmail.com
ReplyDeleteNAITWA IBRA NATAFUTA MWANANAMKE MWENYE SIFA ZAKE AWE MFANYAKAZI SERIKALINI AU MFANYA BIASHARA MM NINA UMRI WA MIAKA 25 NI MFANYAKAZI KATIKA TV, KATIKA KITENGO CHA URUSHAJI WA MATANGAZO NO 0713027759 AU IBRA11MUSSA@GMAIL.COM
ReplyDeleteHello naitwa mercy Niko Arusha natafuta mchumba ambaye ameokoka mwenye upendo wa kweli no yngu ni 0756057292
ReplyDeleteHi naitwa jonaic natafuta mume wa kunioa umri kuanziq miaka 45 na kuendelea awe mcha mungu no yangu ni 0763224853
ReplyDeleteHelo naitwa jonaice nmeokoka natafuta mume mtu mzima wa kunioa no yangu ni 0763224853
ReplyDeletenitafute 0782133501
DeleteHello naitwa Mary natafuta mchumba kwanzia miaka 24 mpaka 29
ReplyDelete0710499300
DeleteThis comment has been removed by the author.
Deleteby hasani mohamedi natafuta lafiki msichana umli 18';.35 namba 0754429862
ReplyDeletehabari naitwa mbai nina mtoto mmoja wa kiume anamiaka 3 natafuta dada ambae anaweza kumlea mtoto wangu awe na umri kuanzia miaka 18 had 28 dini yoyote na awe na heshima no yangu ni 0786504858 mi naishi dar es salaam.
ReplyDeleteNAITWA JAMES UMRI 30 SINA MTOTO WALA SIJAOA. NATAFUTA MCHUMBA AWE NA WATOTO WASIOZIDI 2 AU HANA KABISA MTOTO. UMRI WAKE 18=29 AWE TAYARIKWA HIV TEST, ASIWE MLEVI. WALIO DARES SALAAM WATAPEWA KIPAUMBELE, SIMU 0687264402
ReplyDeletehabari naitwa Aggy naishi tabora umri wangu miaka 23 nna mtoto mmoja natafuta mchumba aliye tayari kutengeneza maisha ya ndoa,awe mrefu,kabila lolote,akiwa na mtoto itapeza,rangi maji ya kunde umri miaka 30-35 , aliye tayari anitafute
ReplyDelete0626014002
This comment has been removed by the author.
ReplyDeleteThis comment has been removed by the author.
ReplyDeleteNaitwa philipo umri wangu 22 natafta rafiki wa kike kuanzia miaka 20 23 whtsup namba 0657525050
ReplyDeleteNaitwa philipo umri wangu 22 natafta rafiki wa kike kuanzia miaka 20 23 whtsup namba 0657525050
ReplyDeleteNaitwa Merkcedeck umri wangu 25 natafuta mchumba mwenye umri 18-22 sifa MWEREWA na MUVUMILIVU
ReplyDeletewhtspp (tu) 0625409352.
Hello!
ReplyDeleteIAM a man aged 29, seeking for a female friend who we can develop friendship to marriage when God wishes.
What Iam looking for from a friend
1.She Must be a none compromiser believer of Jesus Christ
2.Aged between 22-28
3.Holder of diploma/degree.
4.she must be visionary and ready to start life from the humble beginning
5.Write me through mypro990@gmail.com
Hi guys....,... Naitwa frank gervas naishi dar natafuta mchumb wa kuish nae,elimu yang fm4 sijaajiliwsijaajiliw bali nmejiajil mwenyew kupita biashar ya duka,miaka yang 23 ila mwanamk ninae muitaj akinizid bas miak 2 tu kwa aliye serious anichek 0783284517
ReplyDeleteNaitwa John nimeajiriwa pia nimjasliamali nimeajiri Elimu Bachelor of ACCOUNTANCY Umri wangu 26 na hitaji Mchumba kuanzia miaka 23 kushuka E-mail. johndamiano25@gmail.com
ReplyDeleteHello, Naitwa David niko Zanzibar natafuta mwanamke wa kuwa naye katika mahusiano, dini yoyote cha msingi awe serious kwani sipendi mtu mwongo call or whatsApp me via +255742847621............davidchara51@gmail.com
ReplyDeleteNaitwa Emma natafuta mume awe mkristo miaka 35 to 45 mkweli na mwenye mapenz ya dhat.
ReplyDeleteAwe anaishi dsm.dodoma.moro.au dodoma .awe amejiari au ameajiriwa na mwenye kipato kizur . Niko dsm .Ni mama nina miaka 34 mkristo mkweli .msafi .mkweli nina sifa zote za kuwa mke wa mtu .
Kw walio serious tu daughtermajor8@gmail.com
This comment has been removed by the author.
ReplyDeleteHabari!
ReplyDeleteNiatwa P.J mwanaume, umri wangu Ni miaka 29, nimeajiriwa pia nafanya shuguli zangu, elimu yangu Ni shahada, rangi yangu Ni mweusi, urefu Ni 155cm, nawasiliano; petj660@gmail.com
Natafuta mchumba ambae atakuwa mke mwenye sifa zufuatazo
1. Awe na Nia ya dhati
2. Awe mnyenyekevu na kupenda watu asiwe mtu wa kujiinua
3. Awe mkristo au awe tayari kubadili
4.umri Kati 20-29
Hlw PJ
Deletebado sijapta natafuta mume mkristo aliyeokoka umri 35 t 45 awe dsm ameajiriwa na mwenye kiapato kizuri
ReplyDeleteawe mkristo
mkweli
mwaminifu
amejiari au kuajiriwa
35 to 45
awe dsm
mm nina 34
niko tayari kuwa mke wa mtu
najiheshimu
mwenye hofu ya MUNGU
daughtermajor8@gmail.com
mume mwema nipo
ReplyDeleteNatafuta mchumba
ReplyDeleteAwe mkristo aliyeokoka
Mtumishi wa Mungu
Aliyeajiriwa au kujiajiri
Miaka 35 to 45
Awe anatoka mbeya au tanga
Awe anaishi dsm
Awe anaweza kumudu familia majukumu
Mm niko d
Mkristo
Miaka 34
Julymtemi@gmail.com
0719408850, Mimi ni Frank nahitaji mpenzi,msichana alie tayari anitafute,, awe na miaka 25-28,,
ReplyDeleteMambo vipi vijana wenzangu, mimi naitwa kenneth, nipo naishi Dar, niko kwenye arakati ya kutafuta maisha na wakupanga nae mipango ya kimaisha hivyo natafuta MCHUMBA WA MUDA MREFU NA AJE KUA MKE, Mungu akipenda, size ya mtu sichagui, lakini ukiniuliza mimi napenda watu gani ntakwambia SIJAUMBA NA WALA SIWEZ KUCHORA HIVYO SIBAGUI
Tuwasilina kwa namba hii 0694 263 260namba ya watsapp
CHRISTIAN
ReplyDeleteMATURED MAN FOR MARRIAGE
Awe mkristo mcha Mungu
35 to 45 yrs
Mfanyakazi au biashara halali
Awe na uwezo wa kujitegemea ,aliyekomaa kiakili na aliyemaanisha kuoa kweli
Awe mkweli,mwaminifu na mapenz ya dhat
Akiwa dsm / pwan au tanga itakuwa vizuri
NIKO DSM
NINA MIAKA 32
MKRISTO MCHA MUNGU
MKWELI
MTANASHAT
MPENDA MAENDELEO
NAJUA MAISHA NI NN KWA WALIOSERIOUS NA WAAMINIFU NAHITAJI MWANAUME WA KUNIOA TUISHI TUFANYE MAISHA PAMOJA
msingle039@gmail.com
Jina langu Baraka miaka 22 nipo Dar es salaam natafuta mchumba wa kike sichagui rangi wala kabila kikubwa awe mkweli nipo nasoma chuo awe na umri wa miaka 18-22 kama upo tayari nicheki 0719992397 au 0728210865 or kayombo213@gmail.com
ReplyDelete
ReplyDeleteCHRISTIAN
MATURED MAN FOR MARRIAGE
Awe mkristo mcha Mungu
35 to 45 yrs
Mfanyakazi au biashara halali
Awe na uwezo wa kujitegemea ,aliyekomaa kiakili na aliyemaanisha kuoa kweli
Awe mkweli,mwaminifu na mapenz ya dhat
Akiwa dsm / pwan au tanga itakuwa vizuri
NIKO DSM
NINA MIAKA 32
MKRISTO MCHA MUNGU
MKWELI
MTANASHAT
MPENDA MAENDELEO
NAJUA MAISHA NI NN KWA WALIOSERIOUS NA WAAMINIFU NAHITAJI MWANAUME WA KUNIOA TUISHI TUFANYE MAISHA PAMOJA
msingle039@gmail.com
NATAFUTA MUME
ReplyDeleteMTU MZIMA
AWE NA MIAKA 37 -47
AWE MKRISTO MCHA MUNGU
AWE ANAFANYA KAZI HALALI ZA KUAJIRIWA AU KUJIAJIRI
AWE TAYARI KUBEBA MAJUKUMU YA FAMILIA
MM NI MAMA WA NYUMBANI
KWA SASA SINA KAZI
ELIMU YANGU CHUO
NINA MTOTO 1
MKRISTO MCHA MUNGU
judychalle719@gmail.com
Natafuta mchumba wa kiume anaekaa zanzibar mkristo 0765360187
ReplyDeleteMi ni msichana miaka 24 nakaa zanzibar natafuta mchumba wa kiume anaekaa zanzibar mkristo 0765360187
ReplyDeletewanaume sahihi wa maisha yangu
ReplyDeletemwanaume mwerevu,makini,mkweli, mcha MUNGU NA MWENYE HOFU YA MUNGU
mwanaume wa makamo miaka 37 to 45
mwanaume anayejua wajibu wa mume,na bab wa familia
mwanaume mfanyakazi,mmwenye malengo chanya ya maisha (focused)
mwanaume aliyetayari kuoa,kuanzisha familia ya ndoto zake (bora wawili kuliko mmoja)
mwanaume anayetamani nguvu ,na msaada wa mwanamke katika maisha yake(palipo na mwanaume mwenya mafanikio nyuma yake kuna mwanamke )
mwanaume atakayenipenda na kunienzi
mwanaume aliyeokoka mkazi wa dsm,pwani tanga,dodoma au lilomanjaro
nahitaji mwenza wa maisha
awe mwanaume mtu mzima
awe mkweli mwenye nia ya dhati ya mahusiano ya kudumu
naishi kilimanjaro
mwanamke wa makamo
mkristo,mwaminifu,mkweli
Mungu naomba nikutanishe na mwenza sahihi wa maisha yangu .amen
judychalle719@gmail.com
ambo vipi vijana wenzangu, mimi naitwa kenneth, nipo naishi Dar, niko kwenye arakati ya kutafuta maisha na wakupanga nae mipango ya kimaisha hivyo natafuta MCHUMBA WA MUDA MREFU NA AJE KUA MKE, Mungu akipenda, size ya mtu sichagui, lakini ukiniuliza mimi napenda watu gani ntakwambia SIJAUMBA NA WALA SIWEZ KUCHORA HIVYO SIBAGUI
ReplyDeleteTuwasilina kwa namba hii
734132785
Nipo watsapp pia
maisha mwanaume mtu mzima for serious commited relationship
ReplyDeleteage 37 -40
awe committed na serious kweli kutafuta mwenza wa maisha
awe mkristo,mwenye hofu ya mungu ,muumini wa kanisani kila jumapili
awe mwenye uwezo wa kuendesha familia kiuchumi,kijamii,na kimaadili,
awe mwanaume na baba responsible man
awe msomi,na mwenye uwezo mzur kiuchumi
awe anaishi dsm ,pwani,arusha,moshi.dodoma,mbeya,tanga au iringa
awe amejiajiri au kuajiriwa
mm ni matured woman
single mother
mwanamke wa makamo 30s
mcha mungu
mkweli,msafi,focused,mwenye malengo na mpambanaji wa maisha
mwafrica kwa asili
graduate
Looking serious matured christian man for marriage
againborn448@gmail.com
mtu mzima msomi,mkristo mcha Mungu ,aliyeokoka mcha Mungu ,awe na umri wa miaka 34 to 45 ,awe mkweli,aliyetayari kuoa na kunitunza,na kunipenda kwa dhati mm mwanangu ,awe anaishi mkoa ya Pwani kanda ya kati au kaskazini
ReplyDeleteMwanaume mwenye nia ya dhati ya kuoa na sio tamaa mwenye kazi ,Akira au mfanyabiashara mwenye uwezo nzuri kifedha atakaweza kuihudumia familia yake na kunipenda,mwanaume mwenye maono na akili ya kikubwa mwenye mtazamo chants wa maisha na mpambanaji
mkemwema546@gmail.com
Naomba Mungu nikutanishe na mtu sahihi amen
Natafuta mwanaume mwenye umri kuanzia miaka 30 kuendelea awe mcha Mungu na mwenye uhitaji,Nina mtoto 1 Niko moshi 0764914149
ReplyDeleteTamaa vs upendo
ReplyDeleteNatafuta mwenza mwanamume mtu mzima 35 to 45
Mcha mungu ,mkweli,nadhifu , willing to have a real,truly and commited relation
Must be born again christian residing in DSM or near by
Awe na afya njema must be ready to check his status
Awe responsible
Transparent
Awe na kazi, biashara au kipato halali kinachoweza kumudu familia
Awe mkweli
Am a woman in my 30s
Matured enough to handle family issues
prayerhear@gmail.com
0765360187
ReplyDelete0765360187
ReplyDelete062705846,Allen natafta mchumba mcha Mungu asiwe bonge ,text sms bwan Yesu asifiwe nitaona nikupigie
ReplyDeleteim angelo im looking for women 0652176454 im living in iringa town my age 26
ReplyDeleteAm looking for a Lady aged 26-29 Christian with God fear, hold a bachelor degree at least, 0757806535
ReplyDeleteJohn natafuta Mchumba 0678663701 umri wangu miaka 29 Kwasasa nipo Arusha kimajukumu.
ReplyDeleteNaitwa GUSTAF umri26. nakaa Dar es salaam natafta rafiki wa kike umri kuanzia 20 had 26,awe na hofu ya MUNGU.Cont;0710967333/0743412307&bihendogustaf2@gmail.com
ReplyDeletePia bado natafta kazi ya kufundisha chemia na bios(olevel) mwenye connect..Anistue.NAMPENDA YESU
Naitwa Kenneth,natafuta marafiki jinsia yote , Whatsapp no:+255769807668,
ReplyDeleteGmail: kapologwekenneth255@gmail.com
Naitwa Brown nipo Arusha natafuta mpenzi wakike tuwe wapenzi kbs wa kudumu.. no. 0753 53 2626
ReplyDeleteHellow Wadada!
ReplyDeleteKwa mdada mwenye utayari nakuomba njoo kwaajiri ya kujenga familia
Jina langu ni mwalm
Nina 25 miaka
Mkristo
Naomba kwa mdada mkristo au muislam iasiwaze tukirdhiana mom na wewe hapana wa kupangua
Cha msingi Kama we no muislam itakulasa ubadilishe na kunifuata ili tutengeneze familia bora na kulitimiza kusudi la Mungu
Kwa ss nipo dar es salaam
Mambo mengine tutaongea kwa uzuri zaidi
Karibuni 0625840162
Asanteni sana
Mwanamke Anayependa Kutombwa Na Kufirwa Nipo Mbeya Mjini nicheki 0785440440
ReplyDeleteNaitwa Kenneth Cosmas, 30
ReplyDeleteNatafuta mchumba aje kua mke, sichagui dini Wala kabila
Najua watu tumetofautiana nadhan Napenda kujifunza tofauti za mtu.
Mwanamke awe serious ,ajielewe tutajenga mengi.
Naishi Dar ila Kaz naweza kua Moro au Dar.
Sijaowa,sijawah kuchumbia,
Namba ya simu 0784 241 311
This comment has been removed by the author.
ReplyDeleteHello Tanzania. I'm Kenneth Dc,I'm 30yrs old from Dar es salaam, Tanzania , I'm a single man looking for a long commitment from a black African queen, sizeable, loyal, trustworthy, honest, passionate, Caring, Understanding, And God fearing, Humble and friendly,ready to relocate,should be aged 20 to 33.Blood test is compulsory,if Interested in Me, You can reach me Via WhatsApp Number On 0684246940.
ReplyDeleteNatafuta Mchumba jamani, nimechoka kuwa Single, bofya link hapa utaniona
ReplyDeletehttps://bongopenpals.blogspot.com